About Us Webmail Contact us
Network Marketing Tanzania is trying to target every person from any country who is interested to do business or tour Tanzania. To make sure we reach people from every nation. We have added the language option for anyone who doesnt speak. English or Swahili.
 Welcome What we do Our Networks


Forever Living Products (T) Ltd (FLP) watakuwa na mkutano wao mkubwa tarehe 4 April 2009 Mayfair Plaza Markham Hotel Mikocheni (opposite TMJ) Dar es Salaam. Wasambazaji wazoefu ni saa 4 na wageni waalikwa ni saa 8. Kiingilio ni bure! Kwa maelezo zaidi wasiliana na Betty 0753999699.

FLP watakuwa na Africa Rally, Johannesburg Afrika Kusini kuanzia tarehe 17–18 April 2009 – Sandton Convention Center. Watanzania wapatao 100 watahudhuria tamasha hilo ambalo linafanyika mara moja kwa mwaka katika nchi mbali mbali za Afrika. Mwaka jana tamasha kama hili lilifanyika KICC Nairobi Kenya. Kwa maelezo zaidi wasiliana na Betty 0753999 699.

FLP watakuwa na World Rally kuanzia tarehe 17 – 24 April 2009 Johannesburg Afrika Kusini kwa washindi kutoka nchi zote zipatazo 140 za FLP duniani. Tamasha hili hufanyika mara moja kwa mwaka katika nchi mojawapo ya FLP duniani. Mwaka jana tamasha hili lilifanyika kisiwa cha Phuket Thailand. Kwa maelezo zaidi wasiliana na Betty 0753999 699.

Contact details

Benson Mahenya
BCom MSc MBA CPA
Ubungo Plaza, Suite 16

P.O Box 34559,
Dar es Salaam, Tanzania

Email: bmahenya@yahoo.com
Mobile: +255 716 954 840
Fax: +255 22 2461 066